Namna nzuri ya kupata Nyumba
 

Aberento ni nini?

AbeRento ni jukwaa linalowaunganisha wahitaji na wauzaji/wapangishaji wa nyumba na apartments kwenye miji mikubwa hapa Tanzania bila kulipisha gharama za udalali. Jukwaa hili limeanzishwa ili kuondoa usumbufu ambao tumekutana nao kwa miaka mingi tunapotafuta nyumba za kupanga kwa kuwa na dalali anayelipwa gharama ya mwezi mmoja na mpangaji kwa kumtafutia nyumba.

 

Epuka gharama

Lakini pia madalali wamekuwa na kawaida ya kupandisha bei za vyumba/nyumba tofauti na malengo ya wenye nyumba hali inayowaumiza wapangaji na kusababisha tena nyumba kukaa muda mrefu bila kupata wapangaji. AbeRento sasa inaondoa huu mfumo wa taarifa-mficho na kuweka kila jambo hadharani.

 

Kwanini Aberento?

AbeRento ni njia rahisi yaw ewe kupata nyumba/chumba/fremu za biashara na ofisi kwa njia rahisi kabisa bila purukushani za madalali. Mfumo wa platform hii unakuwezesha kufanya kila kitu kwa gharama ndogo kabisa ambayo hujawahi na hutaipata mahali pengine.

 

Faraja

AbeRento pia inakupa taarifa muhimu za mahitaji ya kijamii yanayozunguka nyumba hiyo kama shule iliyopo jirani, huduma za afya, soko, maduka/vioski nk. Nyumba zote zilizoorodheshwa kwenye AbeRento zimehakikiwa.AbeRento pia itakupatia taarifa mbalimbali kupitia simu yako ya mkononi na e-mail yako kuhusu makazi na ofisi mbalimbali zinazopatikana kwenye miji yote mikubwa hapa nchini.

ZILIZOPO SOKOINE 
 


Kwa zaidi ya mipangilio 700,000 , Aberento ina orodha kubwa ya nyumba kwa ajili ya makazi yako ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Chaguo lako

Mali zilizochapishwa zimehakikiwa na wa taalamu na sipo salama kabisa kwajili ya makazi, biashara, kumbi nk.

MASHUHUDA

Kutana na Mawakala Wetu

Wanauzoefu wakutosha kukufikisha unapotaka

Subscribe Newsletter

Choose from different template and lay them out.